Thursday, February 28, 2013

Mtambue Mungu kama BABA by Bishop Nichodemus Shabuka



 
Kutambua ni kuelewa kufahamu na kujua, na huku kujua kuna tofauti, yupo aliyejua kwa kuelewa(Study about), yupo aliyejua kwa kusikia(Teachings), na yupo aliyejua kwa kufahamu(Experience). Ufahamu pia una viwango na hivyo viwango vinatofautiana kati ya mtu na mtu. Kumtambua Mungu kama baba ni kumfahamu, kumuelewa na kumjua Mungu, kama baba, Yaani kusoma kwa habari ya Mungu, hiyo ikihusisha Biblia na vitabu mbali mbali vya Mungu, Kufundishwa kwa habari ya Mungu hii ikihusisha sermon za kanisani, mafundisho na semina mbalimbali kwa mifumo yote ambayo wengine wanakujuza juu ya Mungu, na cha tatu ni kumjua Mungu kwa experience binafsi kama wewe.

Wednesday, February 27, 2013

Je unajua Jacson Benti zaidi ya kuimba anafanya nini zaidi? Fuatana nami.....



Jackson Benti muimbaji wa Nyimbo za Injili

Wiki hii Rejoice and Rejoice Blog imeweza kufanya mahojiano na muimbaji mahiri sana wa  nyimbo za Injili hapa Tanzania

Blogger: Naomba majina yako kamili,na je unatumia Jina tofauti la kisanii? Tungependa kulijua pia ili jamii iweze kukutambua kwa urahisi.
Majina yangu ni Jackson Benty,jina la kikazi huwa napenda kutumia St.(Saint)Jackson Benty

Blogger:Umeokoka na unaabudu wapi
Nimeokoka,naabudu katika kanisa liitwalo Jerusalem,liko hapa Majengo,Arusha

Blogger Historia yako kwa Kifupi ya kuimba,yaani ulianzaje na wapi?
Nilianza kuimba nikiwa mtoto kabla ya kuanza shule ya msingi,lkn nilianza kuifanya huduma kama kazi mwaka 2001 nikiwa na marehemu Fanuel Sedekia.


Tuesday, February 26, 2013

Judge Dismisses Wrongful Death Lawsuit Against Joyce Meyer Ministries

Joyce Meyer

 
A Monroe County, Ill., judge on Tuesday dismissed the wrongful death lawsuit against Joyce Meyer Ministries that involved the murder of her former bodyguard's family.
Christopher Coleman, who worked for the ministry as Joyce Meyer's bodyguard, was accused of killing his wife, Sheri, and their two sons, Garrett and Gavin, at their home in Columbia, Ill., on May 5, 2009. Coleman was convicted by a jury in May 2011 and is serving out three life sentences without the possibility of parole.
The wrongful death lawsuit filed by Sheri Coleman's family against Joyce Meyer Ministries claimed that the deaths could have been prevented if the organization had conducted a proper investigation into the email threats that attacked Sheri and her family.

Monday, February 25, 2013

MAZNAT BRIDAL SALOON AMSHUKURU MUNGU KWA KUFIKA MIAKA KUMI

JE ULISHAWAHI KUPABWA KATIKA SALOON YA MAZNAT BRIDAL AU WEWE NI BIBI HARUSI MTARAJIWA,HII INAKUHUSU SANA MAZNAT WATAFANYA EVENT KUBWA SANA YA KUWAKUTANISHA HAPA DAR ES SALAAM NA ZAWADI ZA MAGAUNI YA HARUSI KUSHINDANIWA...WAHI TIKETI YAKO SASA



Kama unaishi Dar es Salaam au Tanzania jina la Maznat Bridal Saloon halitakuwa geni kwako,hii na kwasababu kila familia itakuwa imekuwa na harusi ya ndugu,jamaa au rafiki ambao mmoja wao atakuwa amepabwa katika Saloon ya Maznat.

Christian Bloggers weekend hii walialikwa katika Maznat Breakfast kwa ajili ya kueleza jinsi anavyojiandaa kumshukur Mungu kwa jinsi alivyomwezesha kufika miaka 10 ya MAZNAT BRIDAL SALOON

Fuatana nami katika mahojiano yaliyofanyika na Maza mwenyewe ambaye ndio CEO wa Maznat Bridal Saloon;

Maznat: Karibuni sana wapendwa mjisikie mko Maznat Saloon

Bloggers: Asante sana Maznat tunashukuru
Christian Bloggers katika mahojiano

 



Friday, February 22, 2013

Askofu Mokiwa abwagwa Uaskofu Mkuu wa Anglikana


Askofu Mokiwa
 
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa ameshindwa kutetea nafasi yake ya uskofu mkuu wa kanisa hilo Tanzania baada ya kushindwa na Dk Jacobo Chimeledya (56) wa Jimbo la Mpwapwa.

Thursday, February 21, 2013

KANISA NA MAFANIKIO Na Bishop Nickodemus Shaboka Jr

Bishop Nickodemus Shaboka Jr

Leo katika Hoja yangu tutakuwa na mtumishi wa Mungu Bishop Nickodemus Shaboka Jr,karibu tujifunze.....
Mafanikio ni jambo ambalo limeshika hatamu katika ubongo wa kila mtanzania leo, awe kanisani au nje ya kanisa, katika kila eneo la maisha watu wanataka, wanapambana na kupigania mafanikio. Tafsiri nyepesi ya neno mafanikio ni kuongezeka au kubadilika kutoka ngazi moja kwenda nyingine au kutoka hali mbaya kwenda nzuri.

Wednesday, February 20, 2013

MJUE EDSON MWASABWITE MUIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA




Edson Mwasabwite


Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kufanya Interview na Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Tanzania,aliyeimba nyimbo zinazobariki wengi twende tuone anasemaje;
 
Blogger: Naomba majina yako kamili,na je unatumia Jina tofauti la kisanii? Tungependa kulijua pia ili jamii iweze kukutambua kwa urahisi.
Jina langu ni Edson Mwasabwite
 
Blogger:Umeokoka na unaabudu wapi
Ndio,KKKT Kijitonyama
 
Blogger Historia yako kwa Kifupi ya kuimba,yaani ulianzaje na wapi?
Tangia utoto,sana Sunday School Mbeya-Rungwe,UWAKI-Umoja wa Watoto wa Kikristo,alivyoanza kujitambua akagundua ana kipaji cha uimbaji.
 
Blogger:Katika kuimba kwako je umeshatoa Album au single yoyote? Itaje ina nyimbo ngapi?
Ninayo moja iko katika Audio Cassete,CD,VCD & DVD,Inaitwa ni kwa Neema na Rehema,ina nyimbo nane ,ila ninaandaa Albam ya pili ndio anaiandaa


Blogger: Wimbo unaoupenda katika nyimbo zako
NI KWA NEEMA NA REHEMA
 
 
 
 
 


Tuesday, February 19, 2013

Wanaoshikiliwa na nguvu za kaburi wataachiliwa By Rev Florian Katunzi

Rev Florian J Katunzi
KARIBU katika makala haya yanayoandaliwa na Mchungaji Florian J. Katunzi, wa Kanisa la EAGT City Centre,lenye makao yake viwanja vya Mwl. Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam. Somo la wiki hii ni Maombi ndani mwa Maombi, katika kipengele kinachosema…“Wanaoshikiliwa na nguvu za kaburi wataachiliwa.”
Endelea….


Maombi yetu sasa, yanalenga kuwakomboa wale waliokamatwa na nguvu ya kaburi na mauti waachwe huru toka makaburini, tunakusudia kuwarejesha katika hali zao za kawaida kwa jina la Yesu. Yote haya yatawezekana kwa njia ya maombi.

Monday, February 18, 2013

Three Held for Murder of Priest in Zanzibar

Father Evarist Mushi


Police are holding three people for questioning in connection with murder of a Roman Catholic Church priest in Zanzibar, Father Evarist Mushi, as President Jakaya Kikwete warns that the government would not put up with an individual or group of people disturbing the peace that the country enjoys.
The priest was shot on Sunday morning by unknown assailants at Mtoni area, Urban West region in the Island as he was heading to lead a mass at Betras Catholic Church in the Island.
In a statement issued by the Directorate of Presidential Communications, Mr Kikwete who said he had received with shock and grief the news on the killing of Father Mushi, directed the police force to use its full strength and know how by conducting in-depth and speedy investigation to ensure that perpetrator(s) of the act are arrested and arraigned.

Friday, February 15, 2013

Nigeria Actor and former addict said he was healed by watching TB Joshua programme on TV



 TB Joshua                        Hanks Anuku


The actor and former addict tells how TB Joshua rescued him from alcohol, drugs and the mental problems that plagued him for many years in a recent interview. Hanks battled alcohol and drug addiction for years and his mental state deteriorated over time. The former SA to Delta governor, Uduaghan, who has since relocated to Ghana tells his story...

"Yes I got my healing through TB Joshua. It is our Lord's doing. I never believed in miracles until this happened to me. I was having issues with mentality for over seven years, you will notice I have not been that frequent in movies for long. Even when I was special assistant to our dear governor, I was not in a good state of mind and this affected my work in the government before I was advised to seek for solution in Ghana. I spent so much money visiting hospitals, orthodox and unorthodox doctors without positive result. Until I was introduced to TB Joshua. I was only watching his TV programme in Ghana and was healed. I put my faith into it just like the woman with the issue of blood and knew that I would be healed and I got my healing. I am now a mentally stable man. I have dropped drinking and smoking habit, glory be to God."

 




Source: Lindaikeji

Thursday, February 14, 2013

Mary J. Blige Turns to God in Her Battle With Alcohol Addiction

 

Mary J Blige

Mary J. Blige has revealed that the tragic death of Whitney Houston made her realize it was time to face her demon of alcohol addiction.
The proud born-again Christian revealed her decade-long battle with alcohol addiction to LA Confidential, sharing that she began focusing on her relationship with God instead of alcohol during the battle. The 42-year-old confessed that her alcohol addiction became worse after trying to cut back
and only drink socially.

Wednesday, February 13, 2013

SEMINAR:HOW TO MANAGE HOUSE HELPERS


WELCOME TO PATMO EXCELLENCE CENTRE

 
Haya jamani kwa wale wajasiriamali wenzangu PATMO EXCELLENCE CENTRE iko tayari kukupa courses mbalimbali zitakazokupa ujuzi wa kukuongezea kipato kwa BEI NAFUU
Mwaka 2013 amua kuchukua hatua....... 
 



Tuesday, February 12, 2013

Pope Benedict XVI:First pope to resign in 600 years

Pope Benedict XVI
Pope Benedict XVI stunned the world and left the Catholic church reeling when he said on Monday that he would resign – the first pope to do so since the middle ages.
The move, announced without warning, will take place on 28 February and leave the papacy vacant until a successor is chosen.
A Vatican spokesman said the pontiff's aides were "incredulous" when he told them he would step down because he was too weak to fulfil his duties. The pope summoned a meeting of cardinals to tell them of "a decision of great importance for the life of the church".

MAOMBI YA KUANGUSHA NGOME by Rev Florian Katunzi



KARIBU katika makala haya yanayoandaliwa na Mchungaji Florian J. Katunzi, wa Kanisa la EAGT City Centre,lenye makao yake viwanja vya Mwl. Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam. Somo la wiki hii ni Maombi ya kuangusha Ngome…

 “MINARA INAYOSHIKILIA MAFANIKIO YAKO ITAANGUSHWA.” Endelea….
Nianze makala yangu ya leo kwa kuwashukuru wasomaji wa makala hizi katika gazeti, wasikilizaji wa vipindi vyetu katika Redio WAPO FM, ya Dar es Salaam, Redio Ushindi FM, Mbeya, Redio na wale wa Mwanza.

Monday, February 11, 2013

PRAISING GOD IN DIFFICULT MOMENT

From Rejoice and Rejoice Table;



Praising God in difficult times can seem impossible to do but it is in those times that we need to rely and depend on Christ!

When you feel down and encounter a difficult circumstance  you have to give God praise anyway. Praise and worship ought to be a 24/7 life style and not Sunday only issue.

Even if you are in a situation that you cannot even get out of your bed you ought to Praise the Lord too, He is God and forever will be no matter what..
Praise the LORD! Praise the LORD, O my soul! I will praise the LORD while I live; I will sing praises to my God while I have my being ... Psalm 146:1-2.

Friday, February 8, 2013

Bishops Thomas Laizer, Amadeus Msarikie Are Dead

Bishop Thomas Laizer


Bishop Thomas Laizer of the Evangelical Lutheran Church's Arusha Northern Central Diocese is no more. He died yesterday after succumbing to a long illness.
He was admitted to the Selian Referral Hospital here where he was receiving medical treatment for the past one month. A source said the late Bishop was suffering from kidney problems.
In another development, a retired Bishop of Moshi Diocese, Right Reverend Amadeus Msarikie died at Nairobi National Hospital on Wednesday at the age of 82 , after a brief illness.


Glory Kilahiro:Upendo Kilahiro`s daughter first Album Out very soon




Glory Kilahiro
 
Glory Kilahiro a daughter to Upendo Kilahiro -the Tanzanian Gospel Artist is expected to launch her first Album soo.
The Album is named "Yesu anapenda Watoto" translated in English "Jesus Loves Kids"it composed of 11 songs.
Upendo Kilahiro said her daughter is doing very well in gospel music it seems she will be like her and above. Aaaamen
Currently Glory Kilahiro is 5 years old.

Glory`s mom Upendo Kilahiro


Thursday, February 7, 2013

T.D. Jakes Releases New Book, "LET IT GO: Forgive So You Can Be Forgiven


 
 
Wow seems to be a nice book,as usual have label it as a Must Read...
 
 
In T. D. Jakes’ new book, LET IT GO: Forgive So You Can Be Forgiven
T.D. Jakes explores what he calls “the art of forgiveness,” in which he goes beyond the topical meaning of the word. Rather, he takes it apart, examines every facet of what it means to forgive and to be forgiven, offers examples as to what may have caused the crisis, and provides solutions on how to work through betrayal and accept true forgiveness.
So why an entire book on the topic of forgiveness? Because in the tradition of T.D. Jakes, he puts forth forgiveness as a life lesson, something that is as necessary as the air we breathe.

Wednesday, February 6, 2013

Eddie Mico Rwandan gospel artiste

 
Eddie Mico
 
As Rwanda’s music industry continues to improve, boom and grow, more young artistes are rising to grace.Eddie Mico is among very many aspiring musicians in the country struggling to make their music career thrive.

The Kenyan-born Rwandan gospel artiste developed an amazing interest in music when he was still in primary school.
And while in high school (S.2), Mico had already taken his talent to another level and made a tremendous improvement both vocally and with instruments.

When his family returned to Rwanda, the youngster wasted no time and joined the Prince of Peace Choir at St. Etienne Cathedral in Kigali.

Mico never gave up his love for music, despite facing very many challenges. He used every opportunity that he got to train himself for public events and concerts, as well as composing songs and performing.He got together with a few friends and formed a band called BMS; they composed songs and organised concerts as well as festivals at Lycée de Kigali, among other venues.

The zeal kept him going until when he joined university at the School of Finance and Banking (SFB), where he started to get support from different people’s assistance.Mico’s greatest musical influences are Kirk Franklin, Israel, Robert Kelly (R. Kelly) and Donnie Mc Clurkinand. And at the local scene, he admires Ezra and Aime Uwimana. The singer also attributes the success to his family for the big role it played in supporting him.

“I come from a musical family, my grandfather was a singer, composer and pianist,” Mico said.His love for music has continued to grow through the years. He learned to play the keyboard and piano when he was young.

His first single “YOU” was released in December 2008 and the singer has since released numerous songs which include “Umukunzi wangye, “mubo nabonye” and “Reka Ubwiza”.
As a songwriter and composer, Mico has been engaged in writing and composing songs and jingles. He has also helped young gospel singers to make their own music.

In Rwanda, Mico has already made an impact both on the gospel and popular music scene as a solo performer, sharing the stage with renowned musicians like Aime Uwimana and Dominic Nic.He intends to place his experience at the disposal of all that desire to improve their music skills.


 
Source: moriahentertainment

Tuesday, February 5, 2013

MAOMBI NDANI MWA MAOMBI NA MCHUNGAJI FLORIAN KATUNZI


KILA PANDO ASILOLIPANDA MUNGU LITANG’OLEWA



Rev Florian Katunzi
Karibu katika makala haya yanayoandaliwa na hufundishwa na Mchungaji Florian J. Katunzi, wa kanisa la EAGT City Centre, lenye makao yake viwanja vya Mwal. Julius Kambara Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam. Wiki hii tutaanza na Somo Maombi ndani mwa maombi, katika kipengele kinachosema… “Kila pando asilolipanda Mungu  litang’olewa.”. Endelea…….

Ndugu zangu tuliolipokea Neno, BWANA ametuita tuisikie sauti yake na kutii agizo lake, andiko lifuatalo linatuelekezaq jukumu tunalopaswa kufanya. Hebu msikie: Lakini lisikieni Neno la BWANA, enyi wanawake, enyi wanaume, na masikio yenu yapokee Neno la kinywa cha Mungu.( Yeremia 9:20-21).


Monday, February 4, 2013

John Lisu: Nimekubali kuchungika chini ya wachungaji wangu



Maneno hayo John Lisu aliyasema jana katika uzinduzi wa Albamu yake ya pili "Uko Hapa"
Uzinduzi huo umefanyika katika kanisa la CCC-TAG Upanga jana alasiri...
Kwa maneno yake alisema yeye hata kama atafika viwango vya juu sana hatakaa aache kuwa chini ya uangalizi wa Wachungaji wake. Maana imekuwa ni tabia ya waimbaji wengine wakishakuwa juu basi hawapatikani tena makanisani kwao,kitu ambacho si sawa...

Twende tuone yaliyojiri.....



The MC,The TV Host,Ze Blogger Papaa Sasali kama kawaida



Next Level wakiimba
 
 Watu wakisifu na kuabudu,kila mtu alikuwa na furaha

Next Level from CCC

MC akicheza kwa Furaha




Bishop Ranwell Mwenisongole kutoka CCC akifungua kwa neno na maombi,kulia kwake ni Pastor Deus Cheyo



Chidumule akipozi kusubiri kuanza kuimba,kwakweli kumtumikia Yesu kuzuri huyu baba anazidi kuwa kijana




Hapa ilikuwa Celebrations....Shake your body...

View ya Ukumbi w CCC kwakweli ni pazuri sana
 
Now comes Glorious Celebrations on the Stage............watu weeeeeeeeee




Sebene ndio kama hiyo wazee kwa vijana twende kazini

 
 
Pastor Safari alitupatia Surpriseeeeeeee....aliimba na the Voice yaani it was fantastic




Muda si muda wakaingia waimbaji wa siku hiyo ambao ndio wamefanya tuwepo mahali pale,John Lisu and the Team...Woww..Kwanza walikuwa simple na wamependeza sanaaaa

Huyu msichana jamani anaimba vizuri sana sanaaa


Hapa unaweza kumuona John Lisu na my wife wake


Wow wowww..Now comes on the Stage John Lisuuuuuuu.....tataraaaaaa....tataraaaa
Jehovah Yu Hai......Yu Hai Milele..Maitaifa......weweeee,haya wale wa sijui kwaito sijui kuruka ruka juuu..ndio hapo


Wamependeza enheee si ndio jamani


Naona wachungaji na wake zao nao wakifurahia


Uko Hapaaaaaaaaaaaaaaaa...ooh My God sijui nisemeje juu ya huu wimbo mimi,yaani you can feel the presence of the Lord so Strong,Get your copy tu ndo nachoweza kusema


 
Watu wakicheza na kupokea kwa furaha maana ilikuwa ni furaha na vilio vya furaha pia




Hapo sasaaaaa......





Unaweza kuona watu wakiwa katika uwepo


John Lisu jana alitoboa siri ya nani anamtungia nyimbo zake...unataka kujua....Ni YESU....ndio maana ziko kama zilivyo
Yaani John Lisu anaimba kutoka ndani



John Lisu na mke wake Nelly wakiombea baraka na kuzindua Albamu "Uko Hapa" na wachungaji wao wa kanisa la DPC



John Lisu ni mnyenyekevu sana hilo nililiona nilipoongea nae Live wakati wa Interview